Yeye kila kitu anakigeuza geuza kwa faida yake binafsiUtafikiri ameelezea kitu kipya. Msukuma huyu mjanja sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Dah! Nshasahau kucheza bao...
Njaa tayari duh !!!
Kabisaa!Jamani tutafute pesa faida zake ni nyingi mno, hata ukipotea utatafutwa tu.