Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-10-11 ( ) Twitter.png
 
METHALI
utaweza kutambua methali hizi ni zipi? Hebu chemsha akili kidogo.

1. [emoji122][emoji943][emoji90]
2.[emoji60][emoji83][emoji149][emoji381]
3.[emoji1241][emoji124][emoji100]
4. [emoji124][emoji219][emoji501][emoji518]
5.[emoji935][emoji125][emoji777][emoji120]
6.[emoji106][emoji1019][emoji102][emoji107][emoji1019][emoji173]
7.[emoji64][emoji216]=[emoji216]
8.[emoji101][emoji1019][emoji777][emoji381]
9. [emoji104][emoji777][emoji879]
10. [emoji39][emoji654][emoji1019][emoji653]

Mfano: 7 = mtoto wa nyoka ni nyoka
[emoji23]

Hapa najua watu watatoka sifuri
1.Asifuye mvua imemnyea.
2.Baniani mbaya kiatu chake dawa
3.Bendera hufuata upepo
4.Fuata nyuki ule asali
5.Haraka haraka haina baraka.
6.Heri kufa macho kuliko kufa moyo.
8.Sikio la kufa halisikii dawa.
9. Ulimi hauna mfupa.
10.Tamaa mbele mauti nyuma.
 
Back
Top Bottom