myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
22:11
Jizazi....1.Asifuye mvua imemnyea.
2.Baniani mbaya kiatu chake dawa
3.Bendera hufuata upepo
4.Fuata nyuki ule asali
5.Haraka haraka haina baraka.
6.Heri kufa macho kuliko kufa moyo.
8.Sikio la kufa halisikii dawa.
9. Ulimi hauna mfupa.
10.Tamaa mbele mauti nyuma.
Pinki
Nywele hizo...
Hahahaha!!Jizazi....
Unataka zawadi gani?
Kiswahili ulipata A ama?
He’s best Inspiration linalopokuja jambo la mafanikio,wewe hupendi mafanikio?.
😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]View attachment 894969