[emoji736][emoji736]View attachment 894987
Probably none [emoji16][emoji16][emoji16]How many ladies can confidently say "I am not a side chick" ?
Umenikumbusha kuna jamaa ile plus ya Rhesus factor kwenye blood group ilimpanikisha, akadhani ngoma.*HISTORIA YA RHESUS FACTOR*
MFUMO WA RHESUS FACTOR ULIGUNDULIWA MWAKA 1937 NA WANASAYANSI WAWILI BAADA YA KUFANYA UTAFITI KWA KUTUMIA DAMU YA SOKWE AINA YA RHESUS, NDIO MAANA UKAITWA RHESUS FACTOR. MARA NYINGI TUNAPOENDA HOSPITALI TUNAANDIKIWA ALAMA YA KUJUMLISHA AU KUTOA KWENYE MAGROUP YETU YA DAMU, ILIGUNDULIKA KUWA KUNA BAADHI YA WANADAMU WANA CHEMBE CHEMBE(ANTIGEN) D NA WENGINE HAWANA KABISA. KWAHIYO ILE ALAMA YA KUJUMLISHA HUMAANISHA MTU ANA HIZO ANTIGENI NA ALAMA YA KUTOA MAANA YAKE HANA.[/b]
Unakoitoa mwambie aandike kwa herufi za kawaida. Maherufi makubwa haya ni udwanzi tu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]*NINI KIFANYIKE?*
KWA MAMA AMBAE NI RHESUS NEGATIVE NA ALISHAWAHI JIFUNGUA MTOTO AMBAE NI RHESUS POSTIVE ANATAKIWA APEWE KINGA YA KUTOTENGENEZA HAO ASKARI (ANTI-RH ANTIBODIES) AMBAYO NI SINDANO WIKI YA 28 NA APATE BOOSTER DOSE WIKI YA 34 JAPO KILA HOSPITAL INA TARATIBU ZAKE.
NIKEAdidas [emoji7][emoji7][emoji7]
View attachment 895014
Anajua watasoma hata wale wasioona karibu.[emoji23]Unakoitoa mwambie aandike kwa herufi za kawaida. Maherufi makubwa haya ni udwanzi tu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nsharekebisha kamanda. Asante kwa sahihisho...NIKE
[emoji23]Umenikumbusha kuna jamaa ile plus ya Rhesus factor kwenye blood group ilimpanikisha, akadhani ngoma.
Fikisha ujumbe acha kiburi [emoji36][emoji36][emoji36]Anajua watasoma hata wale wasioona karibu.[emoji23]
Hahahaha!! Mie nilikimbia umande...Unajikumbushia fomu siksi ama?
Uprof. Uliupataje kama ulikimbia umande? Si ajabu umesoma CBG, PCM au PCB wewe. Jiniazi !!!Hahahaha!! Mie nilikimbia umande...
Hatareee sana mpaka tunamsahau MO