Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]katinga kua nazoKiranja mkuu [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]katinga kua nazoKiranja mkuu [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Achilia hicho kimbaumbau ufuate ile kitu inapenda. Mateso ya nini? Geez [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hasara tupuOnline shopping🤣🤣🤣🤣🤣
Mama [emoji116][emoji116][emoji116]
Huyu farasi leo ataRIP...
Inatuchafua kimataifa. Watalii wataanza kutuogopa...I hope ni madili ya kibiashara pengine yamebuma huko na siyo trend...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 895058
Baba [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 895061
Na mtoto huyo juu. Familia imekamilika [emoji16][emoji16][emoji16]
Mi ningekuwa mwanaume wa Dar ningekuwa nimeshahama. Si kwa kuandamwa huku !!!
Kuna nchi imepiga marufuku watu wanene kupanda farasi wanawaumiza uti wa mgongoHuyu farasi leo ataRIP...
Too much jamani. Ukizubaa kidogo tu jina la ukoo linaharibika [emoji16][emoji16][emoji16]
Alarm system safi kabisa
AfadhaliKuna nchi imepiga marufuku watu wanene kupanda farasi wanawaumiza uti wa mgongo
Sana hasa hio hotel ya tukio lilipotokea itabuma kwa wazungu walivyo waoga na kujihamiInatuchafua kimataifa. Watalii wataanza kutuogopa...I hope ni madili ya kibiashara pengine yamebuma huko na siyo trend...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi ningekuwa mwanaume wa Dar ningekuwa nimeshahama. Si kwa kuandamwa huku !!!
Hapo tu panya tukikosea stepu wakati wa kuch kuch za kubembelezana uji wakaangusha sinia ndani watu watasahau usingizi kwa muda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alarm system safi kabisa
Kumbe prof ni prof kweli.Uprof. Uliupataje kama ulikimbia umande? Si ajabu umesoma CBG, PCM au PCB wewe. Jiniazi !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo tu panya tukikosea stepu wakati wa kuch kuch za kubembelezana uji wakaangusha sinia ndani watu watasahau usingizi kwa muda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]