myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
asubuhi njema wote
Hela anaweza kuwa nayo, labda PESA.Una hela?
Kati ya yote hayo no.10 TZ ndo imeshika hatamu.AINA YA WATU NA VITU 10 VINAVYOUDHI ZAIDI UKIWA OFISINI
1.Kuongea na simu kwa sauti kubwa, mpaka kila mtu anajua unaongea nini na nani
2.Kula vyakula vyenye harufu kali ofisini, pengine kwa mazoea au pengine wewe unamamlaka makubwa hapo ofisini
3. Mtu ana miaka mitatu kazini na hawezi kufanya kazi zake mwenyewe. Mbaya zaidi wakubwa wanajua na hawachukui hatua yoyote.
4. Kuzungumzia siasa au dini ofisini wakati ofisi haifungamani na siasa wala dini yoyote.
5. Wafanyakazi ambao muda wote wamechanganyikiwa au wanalalamika muda wote. Inaudhi kufanya kazi na watu wa namna hii
6.Kubonyeza Keyboard kwa nguvu au kupiga kelele ofisini
7. Vikao visivyoisha.
8. Ndugu wa bosi kuwadharau wafanyakazi wengine au kujipa mamlaka na kutaka heshima eti tu kwa kuwa yeye ni mtu wa karibu wa bosi
9 Kuja na watoto ofisini
10. Watu wenye Majungu. Wengine hushinda kwenye dawati la mfanyakazi mwenzie akipiga soga na kusahau kazi yake.
[emoji116][emoji116]Kuna nchi imepiga marufuku watu wanene kupanda farasi wanawaumiza uti wa mgongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]katinga kua nazo
Na wanaifuatilia kweli[emoji23][emoji23], utakuta wanasimuliana mara sijui Gullah kafanya nini, ooh! Sijui Sumblah [emoji23][emoji23]
Hahahahaha! Mie H kunani.Uprof. Uliupataje kama ulikimbia umande? Si ajabu umesoma CBG, PCM au PCB wewe. Jiniazi !!!
Kinga*NINI KIFANYIKE?*
KWA MAMA AMBAE NI RHESUS NEGATIVE NA ALISHAWAHI JIFUNGUA MTOTO AMBAE NI RHESUS POSTIVE ANATAKIWA APEWE KINGA YA KUTOTENGENEZA HAO ASKARI (ANTI-RH ANTIBODIES) AMBAYO NI SINDANO WIKI YA 28 NA APATE BOOSTER DOSE WIKI YA 34 JAPO KILA HOSPITAL INA TARATIBU ZAKE.
Mungu atulinde