Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mmmh hii coment haiendani na mwenye ID. Mwananchi gani huyo mwenye hasira? Jilinde kwanza kabla ya serikali kukulindaHivi Mo Dewji asipopatikana serikali hii ya watu wasiojulikana itaawambia nini wananchi wenye hasira?
Kuna mtoto kapotea(katekwa) wiki ya tatu sasa hajapatikana sembuse MO