Kwa wanaomjengea haya majumba, milioni 10 sijui 20 ya mahari si hela ya mboga tu jirani?tatizo anaweka dau kuuuubwa.. anaetaka kuoa
Akina Mo na akina Mengi inabidi wafanye hivi. Kuwa na walinzi tena retired commandos na Navy Seals Team 6 kabisa kama huyu dogo. Mambo siyo mazuri !!!
Ana sura na msambwanda wa mamake. Kwako wewe unayeangalia vigezo lukuki mpaka arrangements na rangi ya taya hawezi kufikia viwango vyako. I agree. Sura ya kawaida sana shida ni huko nyuma sasa duh !!!
View attachment 895792
khaswaa....Swadakta 🤣🤣🤣🤣 wengine tunasema Aiwaaaa
Kumekucha katika uzi wetu...
Hicho abachokula kina utamu wa aina gani?
HoyeeeeeKumekucha katika uzi wetu...
CHAWAMITAAAAA Hoyeeee !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
khaswaa....
Mchina. Hili ni jike dume kamanda tena lina mjurubeng wa uhakika tu. Dunia ina wenyewe hii ati !!!
Marhabaaa... .... ....bi idhinAllahLugha nyengine Marhaba
Hoyeeeee
Avatar yangu isitumike vibaya pulizi. Wanyakyusa tutaandamana ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]Kuna nyara za serikali mkuuView attachment 895795