*Shule ya Sekondari Nsumba iliyoko Jijini Mwanza usiku wa jana ilivamiwa na majambazi wenye silaha za moto, walifanya uhalifu na kumuua mume wa mwl. wa shule hiyo.*