Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

SOMA HII TAFADHALI
Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 16
alimuuliza mama yake: "Mama, utanifanyia nini
nikifikisha umri wa miaka 18 (siku yangu ya
kuzaliwa)
Mama akajibu:- "mwanangu bado una unasafari
ndefu". mtoto yule lifikisha umri wa miaka 17,
siku moja ghafla akaanguka chini.
Mama yake akambeba na kumuaisha hospitali, na
daktari akasema: "Mama mwanao ana Moyo
mkubwa pia limeonekana tundu katika moyo
wake."
Mama akiwa na mwanae pale hospitali huku
mama akiwa na mawazo nini cha kufanya, mtoto
akamuuliza mama yake " Mama Madaktari
wamekwambia mimi ninaenda kufa?? Mama
akaanza kulia..
Baada ya muda wa mwaka nzima kijana huyu
akiwa amefikisha mika 18 alirudishwa nyumbani
kutokana na hali yake kuwa nzuri. baada ya
kufika nyumbali alikuta barua ipo kwenye kitanda,
iliyokuwa imeandikwa na mama yake.
Barua iliandikwa hivi: Mwanangu unasoma haya
kwa sababu kila kitu kimeenda sawa mpaka
sasa. kumbuka siku uliyoniambia siku ukifikisha
miaka 18 nitakupa nini na hukufahamu kwanini
sikukupa jibu. "Nimekupa moyo wangu take care
of it and happy Birthday Son" alimalimaza kwa
maneno hayo ya kingereza.
Mama alikufa kwasababu ya ili mwanae apone
alitakiwa kutoa moyo wake awekewe mwanae.
Kama unaamini Hakuna kama "MAMA" hapa
duniani
Andika Nakupenda "MAMA" na kama unamjali
mama yako Unaweza SHARE, Iwafikie watu
wengi wajifunze

NAKUPENDA MAMA.
 
2795ACFD-A7C7-4535-B684-602E00BF0F39.jpeg
 
Back
Top Bottom