capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Hajasmile atakosa credits za rangi ya taya [emoji13][emoji13][emoji13]
Ni mrembo, unaweza kuona dimpoz hata kabla haja tabasamu.🙂
Hajasmile atakosa credits za rangi ya taya [emoji13][emoji13][emoji13]
Vidole vya muuza samaki hivyo mlivishupalia. Kuridhisha misabwax na majimama wala haitegemei urefu wa mjurubeng japo hiyo inasaidia kwa kiasi fulani hasa upande wa saikolojia.
Yaani nyie hovyo kabisa !!!
Ni mrembo, unaweza kuona dimpoz hata kabla haja tabasamu.🙂
Mh!!Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Blackburn na Southampton Graeme le Saux anaamini meneja wa Manchester United Jose Mourinho anaweza kubaki Old Trafford kwa msimu wote. (Jersey Evening Post)
AiseeeeMourinho pia anapania kumrudisha Manchester United, mshambulizi wa zamani wa Uswidi ambaye sasa anachezea LA Galaxy Zlatan Ibrahimovic, 37, mweiz Januari mwakani. (ESPN)