Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bro. Huyo wa katikati aje haraka aje achukue title deed ya mashamba ya ukoo. Si kwa guu hilo wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Bro. Huyo wa katikati aje haraka aje achukue title deed ya mashamba ya ukoo. Si kwa guu hilo wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Ngoma hii inaitwaje?
Don know,
The outfit, ipi kati yao ni styl yako.?
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Bro. Huyo wa katikati aje haraka aje achukue title deed ya mashamba ya ukoo. Si kwa guu hilo wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Walikuwepo wengi utotoni huko Usukumani watu wakaanza kuwakamata na kuwauza. Sasa huwezi kuwaona tena. Walikuwa wanaitwa ng'ong'oi
Non of them,hello no sivaagi ivo
Huyu ndege mwenye mbinuko naye nimemsahau jina. Tulikuwa tunawatega utotoni na njiwa pori. Ila walikuwa wajanja sana. Kumkamata ilikuwa shughuli pevu
Wamejaa Serengeti, Lake Manyara na Selous,Walikuwepo wengi utotoni huko Usukumani watu wakaanza kuwakamata na kuwauza. Sasa huwezi kuwaona tena. Walikuwa wanaitwa ng'ong'oi
Ngoma hii inaitwaje?