Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ameanzisha mabadiliko chanya pale wizarani sema tu mfumo wenyewe ndo bomu. Watu kutonyimwa dhamana siku za wikiendi. Matrafiki kutoonea watu hovyo hovyo. Ubambikizwaji wa kesi. Haki za raia dhidi ya polisi na mengineyo...Kwanza sikujua kama ni mjita,
Kuhusu kujitahidi, MO akipatikana nitaelewa.
Kwenu wapi?Kuna wale wa huku kwetu kama
Jorowe
Furufundi
Kwale
Mbayuwayu
Kimezanyoka
Sijawaona
Hahaha, kila nikifikilia matamko wanayotoa viongozi wa watanzania naishiaga kucheka tu
[emoji276][emoji276][emoji16]
Kigoma huku vijijiniKwenu wapi?
Huyu si angalau anatafutwa. Angekuwa mtu wa kawaida hata hizo boat zingewashwa. Hata hapo si ajabu familia imechangia gharama za mafuta.Me huwa sielewi,
Nimeskia siku moja baada ya tukio ndio motor boat zina zunguka baharin kumtafuta!
Hii nchi tupo serious kweli.?
Ameanzisha mabadiliko chanya pale wizarani sema tu mfumo wenyewe ndo bomu. Watu kutonyimwa dhamana siku za wikiendi. Matrafiki kutoonea watu hovyo hovyo. Ubambikizwaji wa kesi. Haki za raia dhidi ya polisi na mengineyo...
MO atapatikana japo inawezekana ni international mob. Tuombe tu apatikane akiwa hai.
Mbunge wa Mwibara Bunda. Sina uhakika pia kuhusu kabila lake...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Me huwa sielewi,
Nimeskia siku moja baada ya tukio ndio motor boat zina zunguka baharin kumtafuta!
Hii nchi tupo serious kweli.?
Watamwondoa. Hiyo haikubaliki popote pale. Ukiona hukubaliani na yanayoendelea njia rahisi ni kujiuzulu. Na ukiwa ndani kuna njia za kuleta mabadiliko lakini siyo kila siku kupayuka unless kama ni strategy imepitishwa na chama na wanajua wanachofanya!Ndiyo kama hiyo ya dhamana nliposkia nilifurahi kidogo, kuna mambo wanafanya nafurahi.
Hapa ndio naona system Tanzania ni tatizo ..
Nmemsoma pia habari za katibu wa CCM anajaribu kuukimbia mfumo, sijui kama ata survive.
Ha hahHuyu si angalau anatafutwa. Angekuwa mtu wa kawaida hata hizo boat zingewashwa. Hata hapo si ajabu familia imechangia gharama za mafuta.
Kwenye mambo kama haya na huduma za afya huwa nawavulia kofia Wamarekani. Siku hiyo hiyo emergency protocols zingekuwa activated ardhini na angani sensa kila kona mapolisi kwenye kila freeway...
Sisi bado sana kwa kweli. Huwa siombi kupata heart attack nikiwa Mbagala aisee [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Yaani washaconclude kuwa jamaa katupwa baharini ndani ya kiroba...n nadhani wakitoka hapo wataenda kibiti then misitu ya mabwepande
Intelijensi yetu nadhani wanaweza tu kutafuta mbwa waliopotea na wala sio watu waliotekwa
Watamwondoa. Hiyo haikubaliki popote pale. Ukiona hukubaliani na yanayoendelea njia rahisi ni kujiuzulu. Na ukiwa ndani kuna njia za kuleta mabadiliko lakini siyo kila siku kupayuka unless kama ni strategy imepitishwa na chama na wanajua wanachofanya!
Hapana. Kwenye ishu kama hizi kwa kawaida unakuwa overwhelmed na habari unazopata. Habari zingine zinakuwa credible na zingine hapana. Tatizo huwa ni kuchambua habari ipi uipe uzito na uifuatilie na ipi uipotezee huku ukiwa na resources chache (mf. Wapelelezi). Kama wamepeleka boti baharini basi kuna habari wamepata pengine katupwa huko. Kwenye nchi za wenzetu huku wenye resources na wanaojua kazi zao ungekuta wako majini, angani na nchi kavu vikosi vya mbwa, farasi, wataalamu wa forensics, wanasaikolojia na behavior profilers kuhoji wanafamilia, business partners na watu wengine wa karibu huku wataalamu wa mambo ya pesa wakiangalia akaunti za benki na watu wa IT wakishughulikia gadgets zake zote kuona mawasiliano yake mpaka dakika anatekwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Yaani washaconclude kuwa jamaa katupwa baharini ndani ya kiroba...n nadhani wakitoka hapo wataenda kibiti then misitu ya mabwepande
Intelijensi yetu nadhani wanaweza tu kutafuta mbwa waliopotea na wala sio watu waliotekwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Yaani washaconclude kuwa jamaa katupwa baharini ndani ya kiroba...n nadhani wakitoka hapo wataenda kibiti then misitu ya mabwepande
Intelijensi yetu nadhani wanaweza tu kutafuta mbwa waliopotea na wala sio watu waliotekwa
Hukumbuki tamko la muheshimiwa wakati ule mbwa wa polisi walipopotea?Iyo conclusion duh yaani inahuzunisha kwa kweli.yaani jitihada za kumftafuta akiwa hai zilishindikana ama vipi[emoji853][emoji853][emoji853][emoji853]
Inawezekana ni strategy imepitishwa. Wapinzani badala tu ya kufurahi inabidi waangalie kwa undani...Politics...beautiful dirty gameWacha tuone, labda pia m/kiti yupo nyuma ya mawazo yake.
Kuna idadi kubwa ya ndege, huenda hao sijawafikia. Ndege kimezanyoka yupoje?Kuna wale wa huku kwetu kama
Jorowe
Furufundi
Kwale
Mbayuwayu
Kimezanyoka
Sijawaona