Kwenye upelelezi kama huu unafuata credible info zinakokupeleka. Kama umesikia kuwa katupwa majini huwezi kwenda porini inabidi uende huko huko majini. Na habari hizo zinaweza kuwa kweli ama la kwa sababu katika kesi kama hizi unapata habari za kila aina.Iyo conclusion duh yaani inahuzunisha kwa kweli.yaani jitihada za kumftafuta akiwa hai zilishindikana ama vipi[emoji853][emoji853][emoji853][emoji853]
Umesema vyema.. Ila tunapokua haturidhiki katika chunguzi kulingana na matukio na kuonekana viashiria vya upendeleo unategemea sisi wananchi tuseme nini?Hapana. Kwenye ishu kama hizi kwa kawaida unakuwa overwhelmed na habari unazopata. Habari zingine zibakuwa credible na zingine hapana. Tatizo huwa ni kuchambua habari ipi uipe uzito na uifuatilie na ipi uipotezee huku ukiwa na resources chache (mf. Wapelelezi). Kama wamepeleka boti baharini basi kuna habari wamepata pengine katupwa huko. Kwenye nchi za wenzetu huku wenye resources na wanaojua kazi zao ungekuta wako majini, angani na nchi kavu vikosi vya mbwa, farasi, wataalamu wa forensics, wanasaikolojia na behavior profilers kuhoji wanafamilia, business parterns na watu wengine wa karibu huku wataalamu wa mambo ya pesa wakiangalia akaunti za benki na watu wa IT wakishughulikia gadgets zake zote kuona mawasiliano yake mpaka dakika anatekwa.
Kesi hizi huwa ni ngumu sana sema tu sisi wabongo tunaongea sana na kujifanya kila mtu anajua. Hata kwa wenzetu huko hizi kesi huwa siyo rahisi hasa kama watekaji ni watu waliolipwa na hawana uhusiano wa katibu na victim.
Kuna idadi kubwa ya ndege, huenda hao sijawafikia. Ndege kimezanyoka yupoje?
Hapana. Kwenye ishu kama hizi kwa kawaida unakuwa overwhelmed na habari unazopata. Habari zingine zibakuwa credible na zingine hapana. Tatizo huwa ni kuchambua habari ipi uipe uzito na uifuatilie na ipi uipotezee huku ukiwa na resources chache (mf. Wapelelezi). Kama wamepeleka boti baharini basi kuna habari wamepata pengine katupwa huko. Kwenye nchi za wenzetu huku wenye resources na wanaojua kazi zao ungekuta wako majini, angani na nchi kavu vikosi vya mbwa, farasi, wataalamu wa forensics, wanasaikolojia na behavior profilers kuhoji wanafamilia, business parterns na watu wengine wa karibu huku wataalamu wa mambo ya pesa wakiangalia akaunti za benki na watu wa IT wakishughulikia gadgets zake zote kuona mawasiliano yake mpaka dakika anatekwa.
Kesi hizi huwa ni ngumu sana sema tu sisi wabongo tunaongea sana na kujifanya kila mtu anajua. Hata kwa wenzetu huko hizi kesi huwa siyo rahisi hasa kama watekaji ni watu waliolipwa na hawana uhusiano wa katibu na victim.
Kuna viashiria gani vya upendeleo kwenye hii kesi, kwa mfano? Huyu ni mtu tajiri kuliko wote hapa nchini na mambo yako hivi, unafikiri angekuwa mtu baki tu kama mimi (na pengine wewe) hali ingekuwaje? Tuna mifumo mibaya ya kiintelijensia, kiusalama, kipolisi, kitabibu, kiusafirishaji, kisiasa...you name it. Na chanzo cha yote ni likatiba libovu lililopitwa na wakati, katiba ambalo linaendekeza sheria zisizo na meno na zinazokuza tabia za kulindana, ufisadi, kuoneana na kutowajibika huku nguvu zote zikiwa chini ya mtu mmoja.Umesema vyema.. Ila tunapokua haturidhiki katika chunguzi kulingana na matukio na kuonekana viashiria vya upendeleo unategemea sisi wananchi tuseme nini?
Yule ndege anataka kua na rangi kama ya kijivu mchanganyiko na nyeupe...ana shingo ndefu...anapatikana kwenye makazi ya watu lakini si maeneo yote
Mf ishu ya Lissu mpaka leo, hatujui nini kinaendelea, wakati yule mbwa kapotea unakumbuka tamko lililotolewa?Kuna viashiria gani vya upendeleo kwenye hii kesi, kwa mfano? Huyu ni mtu tajiri kuliko wote hapa nchini na mambo yako hivi, unafikiri angekuwa mtu baki tu kama mimi (na pengine wewe) hali ingekuwaje? Tuna mifumo mibaya ya kiintelijensia, kiusalama, kipolisi, kitabibu, kiusafirishaji, kisiasa...you name it. Na chanzo cha yote ni likatiba libovu lililopitwa na wakati, katiba ambalo linaendekeza sheria zisizo na meno na zinazokuza tabia za kulindana, ufisadi, kuoneana na kutowajibika huku nguvu zote zikiwa chini ya mtu mmoja.
Yea ndio huyo huyo, anasafisha mazingiraSi ndio yule anaitwa bwana afya.?
Huyu si angalau anatafutwa. Angekuwa mtu wa kawaida hata hizo boat zingewashwa. Hata hapo si ajabu familia imechangia gharama za mafuta.
Kwenye mambo kama haya na huduma za afya huwa nawavulia kofia Wamarekani. Siku hiyo hiyo emergency protocols zingekuwa activated ardhini na angani sensa kila kona mapolisi kwenye kila freeway...
Sisi bado sana kwa kweli. Huwa siombi kupata heart attack nikiwa Mbagala aisee [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mtu aliyetekwa kila sekunde ina thamani. Huwezi tu kwenda baharini kama habari ulizonazo zinasema amepelekwa Kibaha au kuna gari jeusi limeonekana linakwenda katika misitu ya Mabwepande. Siku ya kwanza huwa ni very chaotic ndiyo maana kama mna resources za kutosha inabidi kutanda kila kona - majini, nchi kavu na angani kwa mtindo wa kokoro...Issue ni mipango wa kusearch,
Yani ukitafakari mkakati unaotumika kumtafuta MO unaona kabisa Polisi haina nia ya dhati, na hii inaumiza zaidi.
Tuna laumu hatuna vitendea kazi lakin ukweli ni kwamba tunavyo na tunaamua kutovitumia kwa sababu tusizozijua.
Mf. mzuri ni kwa MV Nyerere, PM alifika na chopa cha kushangaza giza lilivyo ingia walishindwa kutumia chopa kama source ya mwanga kuendelea kuokoa watu.
Swala la MO, Asbh ile ndo ulikuwa muda wa kutafuta baharini iwe ni boat ama chopa. Sasa a day after unategemea nini.?
Mf ishu ya Lissu mpaka leo, hatujui nini kinaendelea, wakati yule mbwa kapotea unakumbuka tamko lililotolewa?
Kwanini kwa binadamu isiwe hivyo ili at least tuone kuwa wanajali utu, japo changamoto ni nyingi?
Issue ni mipango wa kusearch,
Yani ukitafakari mkakati unaotumika kumtafuta MO unaona kabisa Polisi haina nia ya dhati, na hii inaumiza zaidi.
Tuna laumu hatuna vitendea kazi lakin ukweli ni kwamba tunavyo na tunaamua kutovitumia kwa sababu tusizozijua.
Mf. mzuri ni kwa MV Nyerere, PM alifika na chopa cha kushangaza giza lilivyo ingia walishindwa kutumia chopa kama source ya mwanga kuendelea kuokoa watu.
Swala la MO, Asbh ile ndo ulikuwa muda wa kutafuta baharini iwe ni boat ama chopa. Sasa a day after unategemea nini.?
Oh boy. Hao wapiganaji wana hali gani?