capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Mtu aliyetekwa kila sekunde ina thamani. Huwezi tu kwenda baharini kama habari ulizonazo zinasema amepelekwa Kibaha au kuna gari jeusi limeonekana linakwenda katika misitu ya Mabwepande. Siku ya kwanza huwa ni very chaotic ndiyo maana kama mna resources za kutosha inabidi kutanda kila kona - majini, nchi kavu na angani kwa mtindo wa kokoro...
Mengine yote nakubaliana nawe !!!
Anaishi jirani na mito na maziwa yenye samaki wengi?Yea ndio huyo huyo, anasafisha mazingira
Pamoja na yote hayo sisi ni wazembe. Hatujali. Hatuthamini maisha ya watu wa chini. Kukosa maarifa ni kisingizio tu. Hata kama hatuna maarifa, ni lazima kweli twende kuzima moto na magari ya zimamoto yasiyo na maji? Ni lazima twende kwenye uokozi kama huo wa majini tukiwa tumechelewa na tukifika eneo la tukio ndiyo tunagundua kuwa hatuna vifaa? Mbona kama ni ishu za kuzima maandamano kila system inakuwa on tena kwa uangalifu wa hali ya juu?Mkuu usisahau umasikini wa kipato tulionao ambao pia unatufanya masikini wa maarifa. Wenzetu walishamaliza suala kuziweka sawa taasisi zao za elimu hivyo pia suala la ulinzi na usalama wameliweka vizuri.
Ulofa tulionao unatunyima fursa ya kuwapa elimu ya uhakika ya masuala ya upelelezi vijana wetu, pamoja na kumiliki zana za kisasa kama ulivyozitaja. Bado tuna safari ndefu lakini namiini tutafika hata kwa miaka 20 au 30 ijayo
Pamoja na yote hayo sisi ni wazembe. Hatujali. Hatuthamini maisha ya watu wa chini. Kukosa maarifa ni kisingizio tu. Hata kama hatuna maarifa, ni lazima kweli twende kuzima moto na magari ya zimamoto yasiyo na maji? Ni lazima twende kwenye uokozi kama huo wa majini tukiwa tumechelewa na tukifika eneo la tukio ndiyo tunagundua kuwa hatuna vifaa? Mbona kama ni ishu za kuzima maandamano kila system inakuwa on tena kwa uangalifu wa hali ya juu?
Wewe kumbe una inside info chief. Mi nilikuwa naongelea tu kiujumla nikitoa mifano isiyokuwa na kichwa wala miguu. Kama ni hivyo basi walitakiwa hapo hapo kuweka watu wa doria huko baharini immediately. Lakini ndiyo hivyo. Utakuta hata difenda ya polisi kituoni pengine haina mafuta. Hatuko siriazi katika mambo mengi sana !!!Mashuhuda walisema gari imeelekea msasani, Chief!
Ndio maana nasisitiza kuanzia baharini,
Umeanza!
Oh boy. Hao wapiganaji wana hali gani?
Uwe unattach na namba[emoji39]
Umeanza!
Halafu sijui wanaukoo waliniaminije kunikabidhi title deed ya mashamba ya ukoo jamani. Ekari 180 nzima. Shauri yao [emoji16][emoji16][emoji16]
Uzembe tunao mwingi, Lakini pia Kujua thamani ya kiumbe aitwaye binadamu ni maarifa, katika Tanzania hii kuna jamii haziamini kama binadamu ana thamani kuliko mnyama wa porini au wa kufuga. Jamii ya watu wa aina hiyo ukimpa mamlaka za kiuchunguzi bila maarifa ya kutosha ni bure.Pamoja na yote hayo sisi ni wazembe. Hatujali. Hatuthamini maisha ya watu wa chini. Kukosa maarifa ni kisingizio tu. Hata kama hatuna maarifa, ni lazima kweli twende kuzima moto na magari ya zimamoto yasiyo na maji? Ni lazima twende kwenye uokozi kama huo wa majini tukiwa tumechelewa na tukifika eneo la tukio ndiyo tunagundua kuwa hatuna vifaa? Mbona kama ni ishu za kuzima maandamano kila system inakuwa on tena kwa uangalifu wa hali ya juu?
Haki yako mtu, tumia mali.Umeanza!
Halafu sijui wanaukoo waliniaminije kunikabidhi title deed ya mashamba ya ukoo jamani. Ekari 180 nzima. Shauri yao [emoji16][emoji16][emoji16]
Laana nitakayopigwa nitaokota makopo mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]Haki yako mtu, tumia mali.
Laana nitakayopigwa nitaokota makopo mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]