Niweke mwanzo kwenye orodha yako[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16][emoji23][emoji23][emoji28], nikiipata hiyo billion 1 watu active 10 wa huu uzi nawageia m 2 @.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Pambana ujipatie mkwanja mrefu
Hapana unajua sisi mabilionea tuna wakati mgumu sana sasa hivi[emoji23][emoji23][emoji23], andaa mabomu mzee wa liver, ukiona mambo si mambo unajitoa nao mhanga.
hakuna wa kuichukua hiyo!!!!!!!!!!!!Hivi ndo kusema waganga wa kienyeji hawaitaki hiyo billioni 1??
[emoji123] [emoji123] [emoji123] mpaka sasa msuli ni motoPoa kabisa mkuu, habari yako?
Kwema, mkuu nifanye nini ili niikwae 1B iliyotangazwa? Nipe mbinu maana naitamaniHatujambo niaje mkuu
Poa kabisa mkuu bado tunamtafuta Billionea kijana Afrika hatujui tutampata hakiwa hai au amekufaMzee baba, niaje mwana liver
Hujambo malkia wanguHahahaha
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji28], nikiipata hiyo billion 1 watu active 10 wa huu uzi nawageia m 2 @.
Hahahaha[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] na hao mabordygurd lazima wawe na AK47, vinginevyo kutekwa kuna kuhusu
Yaani nashindwa kuwaelewa kabisa nimeshaonana nao kama kumi sijaona mafanikioHivi ndo kusema waganga wa kienyeji hawaitaki hiyo billioni 1??
Hii ndio habari ya mjiniKwema mkuu, tunatafakari namna ya kuinyakua 1B,
Tuandae mikakati mizuri uzi wa likes tunyakue hiyo pesa Mizimu yote kikara ,kikerewe , kizaramo nawahita hapa mtusaidie kupata hii B 1Jamani 1B ni parefu, tuunganishe nguvu tukainyakue hiyo[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Mcheki goddess lazima mizumu itumikeKwema, mkuu nifanye nini ili niikwae 1B iliyotangazwa? Nipe mbinu maana naitamani