myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
salama kwetu, kwenu kwema?Kiongozi, habari ya Alasiri
salama kwetu, kwenu kwema?Kiongozi, habari ya Alasiri
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Pambana ujipatie mkwanja mrefuNimeruka kitandani puuu baada ya kusikia Mtoto wangu anasema mama Mooo.. Kumbe kaona ng'ombe [emoji35]Hii billion moja itatuvunja miguu.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] mkuu hali yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio ukiipata utumie jero jero kila siku maana ata ukiipata Na meno ushang’oa.
Natamani kwenda kwenye part ya JF lakini mpka nipate mabordyguard wa kutosha
[emoji16] [emoji16] [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ujue kazi za sulubu matumizi yake yanakuwa makubwa sana...( Unakuwa kama unaikomoa pesa ilivyokutaabisha kuitafuta).
Mzee baba, niaje mwana liver
PoaMamboz
HahahahaView attachment 899829One B mbinu zote lazima zitumike
[emoji23][emoji23][emoji28], nikiipata hiyo billion 1 watu active 10 wa huu uzi nawageia m 2 @.[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Pambana ujipatie mkwanja mrefu
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] na hao mabordygurd lazima wawe na AK47, vinginevyo kutekwa kuna kuhusuNatamani kwenda kwenye part ya JF lakini mpka nipate mabordyguard wa kutosha
Gr8 kwa kweli!Mkuu habari
Poa kabisa mkuu, habari yako?Profesa mwandamizi, niaje mkuu
Hatujambo niaje mkuuJamani hamjambo humu
Haina mwisho mkuuHii kitu inaisha lini?
Hahahaha hatari sana aisee ninavyopenda pesa hii kweli fursa embu waongeze dau nitatumia hata tunguri lazima apatatikane wapi Mshana JrNimeruka kitandani puuu baada ya kusikia Mtoto wangu anasema mama Mooo.. Kumbe kaona ng'ombe [emoji35]Hii billion moja itatuvunja miguu
Kwema mkuu, tunatafakari namna ya kuinyakua 1B,salama kwetu, kwenu kwema?
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23], andaa mabomu mzee wa liver, ukiona mambo si mambo unajitoa nao mhanga.