Mola wetu awape nafuu ya maisha walahi!Sio Watanzania ni duniani kote walahi
Ukiangalia kule Yemen, Yarabiii!
Mola tuepushe walahi
Vituko tupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kama ni stori ya kweli basi dada mkiwa sio mwaminifu hata kidogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], lakini sometimes kunaweza kukawa na ukweli.. Lisilo wezekana kwako, wenzio wanaliweza.Vituko tupu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeruka kitandani puuu baada ya kusikia Mtoto wangu anasema mama Mooo.. Kumbe kaona ng'ombe [emoji35]Hii billion moja itatuvunja miguu.
Nimeruka kitandani puuu baada ya kusikia Mtoto wangu anasema mama Mooo.. Kumbe kaona ng'ombe [emoji35]Hii billion moja itatuvunja miguu.
HahahahaNimeruka kitandani puuu baada ya kusikia Mtoto wangu anasema mama Mooo.. Kumbe kaona ng'ombe [emoji35]Hii billion moja itatuvunja miguu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ujue kazi za sulubu matumizi yake yanakuwa makubwa sana...( Unakuwa kama unaikomoa pesa ilivyokutaabisha kuitafuta).[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio ukiipata utumie jero jero kila siku maana ata ukiipata Na meno ushang’oa.
Fact[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], lakini sometimes kunaweza kukawa na ukweli.. Lisilo wezekana kwako, wenzio wanaliweza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]