Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Hahahahaha!!Mizimu 24/7. Jizazi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ishi katika kile unachokiamini.
Hahahahaha!!Mizimu 24/7. Jizazi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Humu bana JF ina balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kama ni stori ya kweli basi dada mkiwa sio mwaminifu hata kidogo.Humu bana JF ina balaa
Hahahahaha!! Hiyo no.1 imenitokea jana, magari ya taka ya kwenda Kinyamwezi[emoji23]ULISHAWAHI KUKUTANA NA NYAKATI HIZI KUMI(10) ZA KUUDHI?
1.Uko kwenye daladala, mara ghafla linapita gari la takataka, Harufu inaingia ndani, ukifunga vioo inabaki ndani, ukifungua vioo inazidi kuingia! Mbaya zaidi mko kwenye foleni
2.Unaangalia simu yako mara ghafla inaingia meseji ya kuchekesha, unacheka kwa sauti kubwa, unagundua kila mtu alikuwa kimya na sasa wote wanakuangalia wewe huku wanatikisa vichwa!
3.Uko hotelini au shopping, mara anatokea mtu anakuuliza bei ya vitu akidhani wewe ni muhudumu!
4.Umekutana na mtu hujaonana nae mda mrefu, unataka kumkumbatia halafu yeye anakupa mkono
5.Unataka kumsimulia mtu habari unayohisi ni ya kuchekesha, unamaliza kusimulia alafu yeye hajacheka.. akidhani inaendelea!
sahihi....WENGI HATUYAJUI HAYA KUHUSU UKUTA HUU WA CHINA “Great Wall Of China”
1.Ulianza kujengwa miaka 2000 iliyopita, mpaka sasa una urefu wa kilometa zaidi ya elfu sita (6000 km)
2.Ndio Ujenzi pekee wa binadamu ulio mrefu zaidi duniani kote. Wachina walijenga kwa ajili ya usalama wao hasa kujikinga na maadui kutoka upande wa kaskazini.
3.Ukuta huu una upana wa mita tisa tu (30ft) ambayo ni sehemu nzuri ya kutembea kwa miguu na kuna maeneo mengine, ni salama hata kuendeshea gari.
4.Ukuta Huu ulijengwa na watumwa na wanajeshi kwa awamu mbalimbali na zaidi ya watu milioni moja walifariki katika ujenzi huo
5. Ukuta wa china ndio shughuli pekee ya binadamu inayoweza kuonekana kutoka anga za juu. Ila si kweli kwamba wansayansi waliuona ukuta huu kutoka mwezini.
Mola wangu ehhh jamani