Paa
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 1,462
- 2,940
Hahaha, cheating
Hahaha, cheating
Ni kweli.....nimekuwa mtoro.Mbona jana nilipita huko nikaona utetezi wako na nikakushukuru? Huwa sikai zaidi ya lisaa limoja huko na kuna wakati kunakuwa hakuna watu. We mwenyewe siku hizi unalala mapemaaa...Thad naye haonekani...
Kuna watu walizingua nikawaachia uwanja waoKaisiki? Mambo ya VAR yaliishia wapi? Nilikuwa nacheka sana !!!View attachment 899948
Unaona sasa. Nikisema kuwa umechenji sana unaishia kucheka. Zamani hao wazinguaji moto ungewawakia mpaka wangeomba poo...Safi sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kuna watu walizingua nikawaachia uwanja wao
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji116][emoji116]View attachment 899975