Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Ni nzuri sanaNina ndugu yangu yaani hata simu ana mute akiwa anaangalia hiyo tv show
Eeeeh
Nope marahaHivi vita.
Jaga ugalale bageshi [emoji23][emoji23][emoji23]Asubuhi naingia
Poa, niaje. Tulikumiss, hata hivyo umeondoka sambamba na yule mrembo babe S: mlienda wapi?Cocochanel, Babe S, GeJo, KK aka Kichwa Kichafu, dogo Andjul, nsamaka, BigBaba, Aleyn, ISIS, Cole Williams, Carbamazepine, Shimba ya Buyenze, gbefa na wengine wote....
Niliwamiss sana watu wangu wa nguvu. Habari za siku mbili tatu?
Tena kubwa Kichwa Kichafu. Umejipangaje?Hivi vita.
Nime ku miss piaCocochanel, Babe S, GeJo, KK aka Kichwa Kichafu, dogo Andjul, nsamaka, BigBaba, Aleyn, ISIS, Cole Williams, Carbamazepine, Shimba ya Buyenze, gbefa na wengine wote....
Niliwamiss sana watu wangu wa nguvu. Habari za siku mbili tatu?
HahahahaNawawahi nyie wanaume wabishibna wadaku eeeeeh
Mkuu kama unavyoona nilikuwa nimemaliza uadui na ndugu zangu wa humu leo mwingine kajitokeza tena yupo motoTena kubwa Kichwa Kichafu. Umejipangaje?
Ndugu yangu naona unaendeleaMpaka naanza feel kama Kuna watu nawafahanu this is Too much jaman
Toa likes Pata likes