Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kweli. Na likes hazilazimishwi. Kama unaona mtu hakupi likes si na wewe unamnyima za kwako na maisha yanasonga jamani? Isitoshe Cocochannel anagawa likes kwa wingi tu. Kuna wakati mwenyewe hapa nilim-test nikaacha kumpa katika pages kama mbili hivi alilalamika kidogo lakini wakati huo huo akiendelea kunimwagia likes bila wasiwasi.

Likes hizi kwangu is just like a game. Ni sawa na mtu anayecheza game kwenye kompyuta. Tusiwe siriazi sana. Lengo ni kufurahi na ku-relax na hakuna haja ya kugombana kabisa wapendwa. Tuvumiliane!

Hayo umeyaandika hayana ukuu

Ila awa wanaanza na udaku kuandika vitu kimafumbo

Ndio wajue hawapo smart

Na ni sio juu ya like hiyo sijali

Bali maneno yao

Humu ni hakuna stress wanazo waende hukoooo

Ulitest ona sasa ulikuwa na roho hiyo kazi unayo kunifikiria na kutest OMG
.unajua nimekusoma humu nimekujua

Na unakubali

Ila nilijuuliza mbona umebadilika kutokana na posts zako niliziona aroubd wengine na mimi sikuwepo... so kukuuliza nilitegemea jibu lolote

Kwanza nilifikiri umekasirishana na mtu.. nikakuuliza kiakili ujibu

Wewe kumbe ndio umezidi kuonyesha ulivyokuwa, ungenyamaza nisingejua

Mnakazi eeeeeeh
 
588fbc9836e858f459891233fd7fe8a3.jpg
Huko mbele ya safari matatizo ya shingo na migongo yataongezeka!
 
Back
Top Bottom