Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
We nawe post gani hizi unazinguaLike kama wewe ni mwanamke[emoji66]
We nawe post gani hizi unazinguaLike kama wewe ni mwanamke[emoji66]
Good night Mzee wa liverGood night Tanzania
Kama kawaida yakoNitaamka usiku sana kuwapa malike
LuciferQueen sugar
Mana kwa jirani wamelala kwetu tu ndo tupo machoHaah mgao wa usingizi
ISIS UsiKu mwemaGood night Mzee wa liver
AMUN RAGood all
Kazi kweli kweliAisee
Bora hata umeamka kakaNitaamka usiku sana kuwapa malike
Imekuwa je tena!!!buzitata na Aleyn
Acheni kusambaza roho mbaya zenu za kunguni humu
Lengo la huu uzi kama hamuufahamu ni mpite hukooooo au muulize
Roho za kukosa na uroho mbays msiueneze humu
Uzi huu ni team no stress
Na ni team kusambaza upendo kwa like
Mjisikitikie ma kuondoa upupwu
Hakuna anayekula ban humu kabisaaaaa
Msituchafulie uzi wetu
Muache uvivu maisha yenu mmejitakia
Wivu.com wakubwa
Nawe pia my dearISIS UsiKu mwema
Bwana ndie mchungaji wanguNijapopita katka bonde la uvuli wa mauti sitaogopa
Hapo sasaImekuwa je tena!!!
Nini mbaya?Na nilidhani baadhi yetu tungesimama mstari wa mbele kuhakikisha taratibu hazivunjwi ila na sisi tumekuwa tukishabikia uozo.
Kweli. Na likes hazilazimishwi. Kama unaona mtu hakupi likes si na wewe unamnyima za kwako na maisha yanasonga jamani? Isitoshe Cocochannel anagawa likes kwa wingi tu. Kuna wakati mwenyewe hapa nilim-test nikaacha kumpa katika pages kama mbili hivi alilalamika kidogo lakini wakati huo huo akiendelea kunimwagia likes bila wasiwasi.buzitata na Aleyn
Acheni kusambaza roho mbaya zenu za kunguni humu
Lengo la huu uzi kama hamuufahamu ni mpite hukooooo au muulize
Roho za kukosa na uroho mbays msiueneze humu
Uzi huu ni team no stress
Na ni team kusambaza upendo kwa like
Mjisikitikie ma kuondoa upupwu
Hakuna anayekula ban humu kabisaaaaa
Msituchafulie uzi wetu
Muache uvivu maisha yenu mmejitakia
Wivu.com wakubwa