Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na nilidhani baadhi yetu tungesimama mstari wa mbele kuhakikisha taratibu hazivunjwi ila na sisi tumekuwa tukishabikia uozo.
Uozo gani mkuu? May be you are taking this likes game too seriously. Kama mtu hakupi likes kama unaweza na yeye mnyime halafu endelea kurelax. Na unaweza kumuomba vizuri tu kiutani utani. Tuvumiliane jamani!
 
Back
Top Bottom