Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mzee mbona unachojua kuhusu yeye ni kweli. Simple she is so damn fine, ni mtu flani ambae ukioondoa masiara namkubali sana hata akitaka kunifanya zuzu freshAnasemaje Mzee wa Ini? Sikuwepo hapa leo. Naona unajinyakulia mke mwema kwa ulaiini. Hongera sana!