The Chosen One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 3,578
- 17,013
Nimejaribu kulala ila usingizi sipati bora nije kula like
Mkuu kwema ila mzee wa Ini anatupa mawe sana kama antony joshuaincluding you mkuu. Kwema lakini?
Umesahau asubuhi ulivyoumiza moyo wanguHuku ni kupatwa kwa mapenzi sasa
Mkuu kila siku adui mpya tena sijui wanatokea wapi.Kichwa Kichafu tumbo moto [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2]
Mwanaume surualiMwanaume mashine
Haya kula like hiyo[emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137]
Rule no 1Karibuni karibuni
Like za wengine
Comment
Nawe upate
Like
Huko alipo ni kama daladala za mbagala.Nitakuwa peke yangu?Ujue nimechoka mishkaki
Haya huyu nisha mpa haki yake ,mwingine nani? Ili nikifunga mahesabu nifunge jumla[emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137]
Nahisi kama umeumbwa kwa ajili yangu napata hisia za ajabu nikiona jina lakoNjoo mamii nimechoka upweke, nimesaka sana mtu kama wewe
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji173]
Habari yako naitwa Prince CoLe WilliamsLike plz[emoji137]
Anasemaje Mzee wa Ini? Sikuwepo hapa leo. Naona unajinyakulia mke mwema kwa ulaiini. Hongera sana!Mkuu kwema ila mzee wa Ini anatupa mawe sana kama antony joshua