[emoji102]Nadhani toka nomeondoka na mama yenu Baby S kuna mengi sana yametokea humu ndani
Maneno mbwembwe tu hata kasuku anaongea.Nimependa maneno yake
Nimekulike ghafla[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]Mbali wapi mkuu, niachie huyu mtoto wewe tafuta mwingine mimi ntakulipia mahari na nitagharamia harusi yenu na mtaji ntakupa mkuu, sawa!![emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji386] [emoji386] [emoji386] [emoji386]
Toa likes Pata likes...love will find away...
Tupo. We tupe likes hizoMnakimbilia wapi siwafikiiiiiii
Sweetheart ur my one n onlyEndelea kumchezea akili tu
Unajua moyo ukipenda mkuu ndio tatizo sammyluv hapa kanimaliza we rudi tu kwa mtoto wako la jukwaa kuleMbali wapi mkuu, niachie huyu mtoto wewe tafuta mwingine mimi ntakulipia mahari na nitagharamia harusi yenu na mtaji ntakupa mkuu, sawa!![emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji386] [emoji386] [emoji386] [emoji386]
Mamii, huyu ndiye Quigley, akipenda anapenda kweli na dunia itajua mtu kapendwa. Nitakifanya ujisikie u mke bora zaidi na pendwaye sana, tarajia hug na makiss ya kila dakika, sitauachia mkono wako hata ninapodrive, kila wakati nitataka uwe by my side, tutembee side side mwaaa[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji257]Nampenda kama ex