Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Nakupenda sina ujanja kabisa mamaRoho inaniuma
Nakupenda sina ujanja kabisa mamaRoho inaniuma
Huo ujumbe toka kwa kichwa ulikua wa nani vile[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Umesema???
Msahama unaenda wako unaenda kubadili maisha yanguLakini we si umeshawahiwa....
Chukua like hiyo
Utanikopesha hela ya kodi?Usimsamehe huyo.
Hafai yule
Karibu sana eeeehMda wa kulala umewadia
FielsSamuel Eto'o
Wewe mbona mchoyo kugawa likes kwa wenzako?
Wewe tu utaona maana kwa nilivyo aibika leo sidhani kama kuna kuna mtu atabadili upendo wangu kwako.Bado upo moyoni mwangu lakini bado macho yangu hayataki kuamini kama kweli utaacha tamaa
Ahsante shemeji kwa kuonyesha njia. Naamini atakusikia ulivyo mshauriAndjul ndiye uliyeandikiwa na Molla. Utaruka ruka na hawa vijana akina Kichwa Kichafu hutapata cho chote. Listen to your heart and act accordingly!
Utanikopesha hela ya kodi?Usimsamehe huyo.
Hafai yule
Tuko pamoja Coco. Ni kutoa na kupokea likes tu!Eeeeeh kwani vibaya jamani
Si basi tu burudani ya humu shaaaa
Poa poa
Sawa. Usiku mwema..usisahau kufunga get I..Mda wa kulala umewadia