cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
9
Lakini we si umeshawahiwa....Ila sio lazima kumsamehe. Nyie mpo wa chache kuliko sisi. Nadhani umenielewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ati nini? Utaviweza vita mkuu? Jakitoo keshatwaliwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Usimsamehe huyo.Roho inaniuma
Kichwa Kichafu anayajenga na sammyluv hapo mimi naanza parables kama Cole Williams mana naona andjul anakaribia kurud kwa nsamakaYap...Kama kurudiana na Kichwa Kichafu au kupata mwingine aliye bora zaidi!
Kichwa kichafusammyluv leo sina mengi ila leo ndio nimejua naomba unielewe sina mbwembwe haya makosa nitayacompasate nipe hata masaa mawili tu mengine nadhani utasema wewe
Nakupenda sammyluvSema tena
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Umesema???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja na wewe yakubadilikie huko kwa Cole Williams ndio utajua kwanini mchicha ulianza kama mbuyu
Hapo unapoteaLakini we si umeshawahiwa....
Bado upo moyoni mwangu lakini bado macho yangu hayataki kuamini kama kweli utaacha tamaaNakupenda luv.
Msamaha wako tu nitadhihirisha yote
Mmh! Jina tu mkuu nimeliona humu!Nitafikisha. Unamfahamuje na mlifahamiana wapi?
Huyu jamaa alikuwaga potential sana wanyewe walikuwa wanamwit cheap laborSeydou Keita
Maneno yangu haya leo ni kweli kabisa mama.Nimekuzoea lakini acha tu nibaki peke yangu
Likes zangu pliz
Babe s yupi huyo?Nadhani toka nomeondoka na mama yenu Baby S kuna mengi sana yametokea humu ndani
Ni kweli mkuu leo mapema uliaga, na mzee wa ini alikutafuta muda fulani. Muhimu kama mambo yalikuendea vizuri...Siko up to date mkuu. Hapa ukiondoka siku moja tu unajikuta uko nyuma sana. Nimempa uzee wa data Mzee wa Ini!