carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nilisahau bhana acha nikuache uyajenge mwenyewe[emoji125] [emoji125]Msamaha wake tu
Nilisahau bhana acha nikuache uyajenge mwenyewe[emoji125] [emoji125]Msamaha wake tu
Siyo njiwa!Kunguru
Sema tenaNdio nampenda
Tayari tena..Masaa mawili mengi sana nakupa nusu saa uje na utetezi wa kujitosheleza
Nimepewa jibu hapo juu. =shimba xx xxxxxKuna mida alionekana nahisi atakua kabanwa leo
Kumbe mimi ulikua unanidanganya eehNdio nampenda
Silalamiki naomba msamaha[emoji116] [emoji116] jenga nyumba yako huku
Kesho uwezi juaHahahaaaa mkuu haujawahi kuwa mpole kama ulivyo leo mdogo wangu. Acha siku ipite, mtayajenga kesho
Kwani anasingiziwa?Mpaka muda huu hakuna alichoongea cha msingi zaidi ya kulalamika
We jamaa wewe. Kila nikifungua humu ni ama unamvisha mtu pete ya uchumba au unaomba msamaha umekorofisha mahala. Your life must be very interesting [emoji23][emoji23][emoji23]Silalamiki naomba msamaha tu nakupenda mama.
Nimekuzoea lakini acha tu nibaki peke yanguSilalamiki naomba msamaha tu nakupenda mama.
Unachungulia likes za watu ili iweje? Huo umbea sasa [emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi nagawa likes kwa watu wote bila kubagua. Mzee wa data tena nisigawe likes why?. Inavyoonekana kidogo unajaribu kunifuatilia fuatilia. Let's just enjoy this game without the name calling na kufuatiliana fuatiliana. Likes to everyone please!
Enzi za Magufuli hizi ambapo hakuna pesa za ufisadi heshima ya laki imerudi tena kwa kasi!
Diego MillittoAna mke bomber sana huyo
Nimeombwa niwasuluhishe umrudie dadangu Nsamaka. Inawezekana?Tatizo umenituhumu, siwezi kurudi kwake aliondoka kwa jeuri sana
[emoji102] [emoji23] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hapo sasa
Yapo mengi sanaNadhani toka nomeondoka na mama yenu Baby S kuna mengi sana yametokea humu ndani