Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wimbo safi kabisa!shimi shimiye shimiyo shimiyaa
drive me swala lalaaa..... naimba [emoji445]
Wimbo safi kabisa!shimi shimiye shimiyo shimiyaa
drive me swala lalaaa..... naimba [emoji445]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ushafeli bro![emoji23] [emoji23]
Utanichoma kisu cha moyoAyajenge na nani mi kesho tu napata limupenzi lipya humu humu
Haya mkuu..MPE salamuUkitaka habari za Jakitoo mkuu niulize mimi [emoji23][emoji23][emoji23]
Inaweza kua habari njema iko njian inakujaUnapaliwa wakati unakula au unakunywa? Yote ni mema. Wasukuma tunaamini kwamba ukipaliwa wakati unakula au unakunywa maji ni dalili njema!
Tatizo umenituhumu, siwezi kurudi kwake aliondoka kwa jeuri sanaSasa mbona unajishtukia
Hahaha mtoto kachokaTangu jana huelewi tu?
Toa likes Pata likesLikes zimepungua au watu wameenda kulala
Nataka kujua tu[emoji83] [emoji83] agghrr...swali gani tena hilo?
Silalamiki naomba msamaha tu nakupenda mama.Mpaka muda huu hakuna alichoongea cha msingi zaidi ya kulalamika