Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Coco, umemis-understand nilichokuwa najaribu kusema. Anyway, halijaharibika neno. For me NOTHING is serious katika uzi huu. Mzee wa Data natoa likes nipendavyo, nataniana na kucheka na vijana wanaotongoza, tunaondoa stress na maisha yanaendelea. Ni mwendo wa kutoa na kupokea likes basi! Kama nimekukwaza, nisamehe please. Kwa moyo mweupe kabisa kabisa. Let's have fun !!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo naona humu ndani hatari tu
Heri buzitata amekuja heshima iatatudi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaa wapi! Kachokoza moto hapa kapigwa sikumsikia tena! Kuna watu wako ngangari hapa wewe ukileta za kuleta unapewa makavu live...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…