Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ubabe....
Mkuu utachaguaje? Utakachokutana nacho huko kwenye sketi unakula hicho hicho. Mchagua chakula si mlajiii !!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] swadakta mkuu hapo hakuna kinachokosa ulaji na wateja ila ulikataa kuchagua pako ni wapi.
Sawa mim nashauri tu lazima uwe mchaguaji ndio utajua kabisa utafit wapi.Mkuu utachaguaje? Utakachokutana nacho huko kwenye sketi unakula hicho hicho. Mchagua chakula si mlajiii !!!
Lazima ukubali hpo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Heheheh
Toa siri ya kujua namba ya chakula hata kabla ya kukila. Utasaidia watu wengi sanaSawa mim nashauri tu lazima uwe mchaguaji ndio utajua kabisa utafit wapi.
Utakuja kuzama usipoogelea uje kujitia aibu bure[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu sisi vijana tunapitia mengi niliwahi kukutwa nilipozama mzee hapakunifaa sijui nilitoa sababu gani amini nilitoeka bila kurudi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Toa siri ya kujua namba ya chakula hata kabla ya kukila. Utasaidia watu wengi sana
Unatakiwakua mpambanaji na mbunifu bro usikubali kushindwa kizembeMkuu sisi vijana tunapitia mengi niliwahi kukutwa nilipozama mzee hapakunifaa sijui nilitoa sababu gani amini nilitoeka bila kurudi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Bro hali ilikua si rafiki kabisa.Unatakiwakua mpambanaji na mbunifu bro usikubali kushindwa kizembe
Hahahah!Bro hali ilikua si rafiki kabisa.
Na ukiwa kma mwanaume lazima ue mpambanaji kweli ila kwa case kma hizi ukiona mazingira sio rafiki unaachana. Kuna maana nyingi kwa nnayoyasema.
Bora usihoji [emoji23] [emoji23] [emoji23] .Hahahah!
adi nashindwa kuhoji zaidi
Ilikuwaje mpaka ukaangukia ndipo sipo? Ndo maana nikasema haya mambo ni magumuMkuu sisi vijana tunapitia mengi niliwahi kukutwa nilipozama mzee hapakunifaa sijui nilitoa sababu gani amini nilitoeka bila kurudi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1]