Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mke wa MPEMBA KAMPELEKA MUMEWE BARAZA LA WAZEE KWA SHTAKA LA KAC YA MUMEWE KITANDANI! ALIKUWA HALALI MPAKA APIGE MAGOLI 5-6!
Eti nikopeshe magoli ya kesho....shwaiini kabisa huyu Mpemba [emoji16][emoji16][emoji16]Mke wa MPEMBA KAMPELEKA MUMEWE BARAZA LA WAZEE KWA SHTAKA LA KAC YA MUMEWE KITANDANI! ALIKUWA HALALI MPAKA APIGE MAGOLI 5-6!
Baraza Likaamua KWA VILE MKE HAWEZI DHORBA HIZO BAC AONGEZE MKE AU KAMA NI HUYO HUYO ACZIDISHE MAGOLI MA 3 KWA CKU!
ucku ulpofika jamaa akapiga v3,
akatulia nusu saa akaona hapati ucngizi, ikabid amwite mkewe:-"mama sheha, mama sheha. jamani mama shehaa, c unckilize basii mwenzioo, cpat usingzii, nkopeshe magoli ya keeshoo!!.
Haya mambo haya miaka 90 kufika kaz ipo
Hivi haya mambo huwa yanaua haraka ama?Haya mambo haya miaka 90 kufika kaz ipo
Nasikiagaa watu washapigwa,kuunyonya,kusukumiwa ukitani kisa hayahayaHivi haya mambo huwa yanaua haraka ama?
Huku kwema kabisa, namshukuru Mungu kwa rehema zake.Picha zimekaa upande shingo zinatuuma [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwema prof?
Nzuri za kwako mkuu
Kabisaa huu ndo ukweli