Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kutokuwa mvivu
Faida nyingine ya kulala uchi/mtupu ni kwamba mara baada ya kuamka unakuwa na ulazima wa kuvaa nguo kwa ajili ya siku hiyo mpya na sio kuamka na nguo zako za kulalia na kutoka nazo nje.
Asante!!!"...Mwanaume ni kichwa na aheshimiwe..."
Mwisho wa kunukuu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 903730
Tunazungumzia ngozi au "ngozi"?Kweli kabisa, kulala uchi kwafanya ngozi ipumue fresh.."nguo zote"
Tunazungumzia ngozi au "ngozi"?