Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Nishamtumia, nipo namsikilizia hapa...Ondoa shaka, wewe utapata laki 7.. Kwetu ni mwiko kugawana nusu kwa nusu na mwanaume, mwanaume ni kichwa na aheshimiwe.
Tunagawana nusu kwa nusu ohoo !