Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siasa za Bongo....

Wasaudi wameua mwandishi wa habari katika ubalozi wao, wakamkata kata kama ng'ombe na kwenda kutupa nyama msituni. Uturuki wana ushahidi wa sauti mwandishi huyo akiteswa hadi kuuawa. Lakini watu wanasubiri uchunguzi na ripoti rasmi kuhusu tukio hilo ndiyo wajiaminishe kwa uhakika. Ndivyo inavyopaswa kuwa.

Shida yetu kubwa, wakati mwingine, ni kuingiza siasa katika kila jambo. Kila mwanasiasa anataka kiki. Haya mambo ya kutekwa ni magumu sana na yanahitaji umakini wa hali ya juu. Na kwa sisi wenye vyombo hafifu vya kipelelezi na kiutendaji hali ni mbaya zaidi. FBI mpaka leo kuna kesi za kutekwa watu mpaka leo zimewashinda...

Ukweli utajulikana tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]


Ha hah

Bro unanifuhisha sana Wakati mwingine, utakuwa nafungu huko sirikalini.

Anyway, sifurahii utendaji wa police katika hili.

Huu alo uleta Siro leo ni UTOTO.
 
Ha hah

Bro unanifuhisha sana Wakati mwingine, utakuwa nafungu huko sirikalini.

Anyway, sifurahii utendaji wa police katika hili.

Huu alo uleta Siro leo ni UTOTO.

Mimi sipendi wanasiasa. They are pathetic, opportunistic and shameless creatures who will jump at anything as long as long it gives them a chance to score political points...

Kulingana na uzito wa familia yake, ukweli kuhusu Mo utajulikana tu.

Kuhusu utendaji wa polisi hilo halipaswi kukushangaza bro. Nikikuomba hapa unitajie chombo angalau kimoja tu cha serikali ambacho hufanya kazi kwa weledi na utaalamu wa kutosha nina hakika utapata tabu sana. Mifumo yetu mingi imeoza. Tunafanya kazi kwa mazoea. Hatuzingatii utaalamu. Kila kitu ni siasa. Halafu mambo kama haya yanapotokea ndiyo tunaanza kulalamika wakati hata sisi ni sehemu ya mfumo huo huo uliooza.
 
Back
Top Bottom