myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
06:30
Wako sahihi. Ukichunguza vizuri katika mawanda mapana, ndoa ina faida gani hasa? Sababu pekee zenye mashiko pengine ni za kidini otherwise hakuna !!!Nimepita huko wajumbe michango yao ni kutokuoa kabisa, hatari kweli kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mabinti wa kizamani ndo wana umri gani?Oeni hao mabinti wa kizamani jamani khaaa![emoji23][emoji23][emoji23]