Mbali na tunda la bure, hakuna faida ya kuoa hata moja hasa kwa hawa mabinti wa kisasa hawa. Sana sana ni kujiletea mateso tu kisaikolojia mwisho wa siku unazimika kwa msongo wa mawazo kama Mwakasege Jr.
Nimepita huko wajumbe michango yao ni kutokuoa kabisa, hatari kweli kweli
Aiseeh!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Njoo uchukueNa mimi nataka
Oeni hao mabinti wa kizamani jamani khaaa![emoji23][emoji23][emoji23]Mbali na tunda la bure, hakuna faida ya kuoa hata moja hasa kwa hawa mabinti wa kisasa hawa. Sana sana ni kujiletea mateso tu kisaikolojia mwisho wa siku unazimika kwa msongo wa mawazo kama Mwakasege Jr.
HAKUNAAAAAA [emoji344][emoji344][emoji344][emoji351][emoji351][emoji351]
I wish ungeniona ninavyo chekeleaNjoo uchukue
[emoji23][emoji23][emoji23]weka picha basi nioneI wish ungeniona ninavyo chekelea
safiiView attachment 902833
View attachment 902834
SHIMBA YA BUYENZE nimefanya kukusogezea tu bro nmeona mahali mtu kakutag 🙂🙂🙂
safiWapi huko bro? Repyutesheni yangu hapa JF ishaharibika kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Mtoto Kendra huyu. Msambwanda safi kabisa. Asante kwa kunisogezea bro. Ukimhitaji faili lake katika ofisi za CHAWAMITA liko hapa [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 902854
Kendra H. (@kissedbyken) • Instagram photos and videos
kweli....ila wengi wako tofauti sanaaaaaThanks for the warning. Nitazingatia...[emoji16][emoji16][emoji16]
Mitandaoni humu tumejijengea wasifu na personality za ajabu ajabu sana...
Nimesha kutumia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]weka picha basi nione