myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
kila mtu ana umuhimu wake
aisee....Real Madrid imewasiliana na aliyekuwa meneja wa Chelsea Antonio Conte kuhusu kupokea jukumu la kusimamia klabu hiyo kutoka kwa Julen Lopetegui, aliyesalia na mechi tatu kuuokoa wadhifa wake licha ya kwamba ameajiriwa msimu huu wa joto. (Corriere dello Sport )