Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Samahani mkuu hivi hawa wadudu hua wanaitwaje?
Samahani mkuu hivi hawa wadudu hua wanaitwaje?
Mmptuuh!Tema mate chini walahi
Good walahiMmptuuh!
Aisee sijui. Sijui ndo nyegere huyu? Moudgulf pengine anaweza kutusaidia lwa sababu inaonekana ana ujuzi kidogo na haya mambo ya wanyama.Samahani mkuu hivi hawa wadudu hua wanaitwaje?
Zitazuka njemba kama sita hivi hapo sijui utafanyeje. Anyway, lala salama prof [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Siku zote humu ndani tumekuwa tukiagana tu kwenda kulala pasipo kukaribishana....(roho mbaya haijengi)
Karibuni tulale.View attachment 904036
Ikifika sisi tumemaliza kazi walahi31 oct..
Ladba ataweza kutusaidia. Huwa wapo slow sana mambo yao wanafurahisha, napenda kuwajua ata jina labda na maeneo wanapatikanaAisee sijui. Sijui ndo nyegere huyu? moudgulf pengine anaweza kutusaidia lwa sababu inaonekana ana ujuzi kidogo na haya mambo ya wanyama.
Hahah.. All Saints' EveIkifika sisi tumemaliza kazi walahi
Zitazuka njemba kama sita hivi hapo sijui utafanyeje. Anyway, lala salama prof [emoji1545][emoji1545][emoji1545]