Ila gym ndo bye byeee labda afanyie kwakeALHAMDULILLAH, hatimaye amerudiView attachment 904389
Baraka kuu walahi
Kwa man u ya saiv kumpiga chelsea shughuli sanaWana wamemuachia MO asikose kuona tutakavyowapiga Chelsea leo.
Ntaenda mjini sasa maana kuna usalama