Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Kama vile mbingu mpya na nchi mpya, nitakazofanya, zitakavyokaa mbele zangu, anatangaza BWANA,… 'toka Sabato hata Sabato, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema BWANA" - (Isaya 66:22,23).
 
"(Mungu) amesema juu ya siku ya saba kwa maneno haya: Siku ya saba Mungu alipumzika na kuacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya…. BASI LIMESALIA PUMZIKO-LA-SABATO KWA WATU WA MUNGU…. Basi, na tufanye bidii kuingia katika pumziko lile"- ( Waebrania 4:4-11)
 
Waadventista Wasabato [emoji7][emoji7][emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…