Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sawa, nitakuombea yataisha..
Asante mkuu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sawa, nitakuombea yataisha..
Tandale kwa bi nyauMtaa gani upo mkuu
Sio kweli mbona maisha rahisi sana huku Tandale una survive ata kwa BukuTandale kwa bi nyau
Mbona wacheka?? Huamini matatizo yanaweza kuondolewa kwa maombi??[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Asante mkuu
Mungu akaona kila kitu alichofanya kuwa ni chema kabisa. Ikawa jioni ikawa asubuhi; siku ya sita. Hivyo ndivyo mbingu na dunia zilivyokamilika pamoja na vitu vyote vilivyomo. Siku ya saba Mungu akawa amemaliza kazi yake yote aliyofanya; siku hiyo ya saba Mungu akapumzika baada ya kazi yake yote aliyofanya. Mungu akaibariki siku ya saba na kuitakasa, kwa kuwa siku hiyo Mungu alipumzika baada ya kazi yake yote ya kuumba" - (Mwanzo 1:31-2:3)
View attachment 905192
Tunakuja..NJONI KWANGU, ninyi nyote mliochoka na maisha na kulemewa na mizigo, NITAWAPUMZISHA… MJIFUNZE KWANGU, kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata RAHA NAFSINI MWENU." Mathayo 11:28, 29.
View attachment 905184
😁😁😁Sio kweli mbona maisha rahisi sana huku Tandale una survive ata kwa Buku
Mtaa gani upo mkuu
Safiif"KAENI NDANI YANGU, nami ndani yenu…. PASIPO MIMI HAMWEZI KUFANYA NENO LOLOTE" -(Yohana 15:4,5).
View attachment 905191
Mkuu sikupati kuleMbona wacheka?? Huamini matatizo yanaweza kuondolewa kwa maombi??
Mkuu sikupati kule
I believe prayers does change mkuuMbona wacheka?? Huamini matatizo yanaweza kuondolewa kwa maombi??
Kule maeneoWapi?