capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Hahahahaha!!Una masihara pyaar umeshawahi kulala chini kweli
Tangia nianze kulala chini sijawahi kuotaHahahahaha!!
Unastaajabu na hilo! Watu tunalala chini hadi leo.. Nisaidie kigodoro hata cha ft 2 unusu angalau nami nilaze mbavu zangu aisee!
Tangia nianze kulala chini sijawahi kuota
Unaongea na mimi?Niondolee matatizo yangu Mkuu
"KAENI NDANI YANGU, nami ndani yenu…. PASIPO MIMI HAMWEZI KUFANYA NENO LOLOTE" -(Yohana 15:4,5).
View attachment 905191
Ndiyo mkuuUnaongea na mimi?
Mtaa gani upo mkuu
Ndiyo mkuu