Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Kim hujambo?[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Nipo mkuu .napitaga kwenye huu Uzi kila siku sema tunapishanaKim hujambo?
Siku hizi nawe unapotea potea sana. Hata kama hili ni fyekero lakini uwe unalitumia mara kwa mara. Kawe na siku njema leo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Asante [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nipo mkuu .napitaga kwenye huu Uzi kila siku sema tunapishana
Kumbe ulishawahi kufungwa mkuu?Ulaji mwingine huu hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 903676
Eti fyekeroKim hujambo?
Siku hizi nawe unapotea potea sana. Hata kama hili ni fyekero lakini uwe unalitumia mara kwa mara. Kawe na siku njema leo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mapenzi hayana kificho yaingiapo moyoni mwako mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo
Kulizika kuwa nacho japo hakina samani
Ukifika hakuna kutema wala kumeza wala kumungunyaUsiku wa kumumunyaaaa
Hujaza kibaba
Ili watu wakafanye vyaooSiku inaelekea ukingoni
Kwa wenye pua zinusazo halfuWeekend inanukia