Hatujambo mkuu nina salamu zako hapaHamjambo humu ndani
Gr8 ndugu yangu vipi wewe?
Malkia, mi mzima hofu kwako.
Naomba unifundishe kitu kwenye baadhi ya vitu ambavyo naamini una ujuzi navyo
Unifundishe kuhusu mira, utamaduni, ibada, maarifa na mbinu za kubamba mkwanja kupitia mfumo furani ambo naona kama una elimu nao. Naishia hapa, ila naomba ruhusa kuingia pm.Niambie ndugu yangu
HahahahaUnifundishe kuhusu mira, utamaduni, ibada, maarifa na mbinu za kubamba mkwanja kupitia mfumo furani ambo naona kama una elimu nao. Naishia hapa, ila naomba ruhusa kuingia pm.
Hahahaha