carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Carba carba, mzima?Kutazama vidole vya mtu unaweza tambua iwapo ni mpenzi wa jinsia moja
Wanawake ambao vidole vyao vya pete na kidole kinacho fuata baada ya kidole gumba katika mkono wa kushoto vina urefu tofauti wana uwezekano mkubwa wa kuwa na mahusiano ya jinsia moja, utafiti unaonyesha.
Wanasayansi wamepima jozi 18 za vidole vya mapacha wa kike wanao fanana, ambapo mmoja alikuwa sawa na mwingine ni shoga.
Mie bukheri kabisa,sijui weyeCarba carba, mzima?
Mh!Kutazama vidole vya mtu unaweza tambua iwapo ni mpenzi wa jinsia moja
Wanawake ambao vidole vyao vya pete na kidole kinacho fuata baada ya kidole gumba katika mkono wa kushoto vina urefu tofauti wana uwezekano mkubwa wa kuwa na mahusiano ya jinsia moja, utafiti unaonyesha.
Wanasayansi wamepima jozi 18 za vidole vya mapacha wa kike wanao fanana, ambapo mmoja alikuwa sawa na mwingine ni shoga.
Mzima wa afya pia.Nimefurahi sana kusikia u mzima.Mie bukheri kabisa,sijui weye