Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Be stupid, be dumb, be funny, if that's who you are. Don't try to be someone that society wants you to be; that's stupid. So be yourself.
 
5. Sauti yako inazeeka pia

Ukizeeka huwezi kuongea kwa haraka

Mtu unapozeeka, huwa inapokea hewa kutoka nje wakati unapoongea hivyo inaifanya sauti yako iwe inasikika kama unahema sana.

Hii inamaanisha kwamba mtu huyo anakuwa hawezi kuongea sentensi ndefu kwa sababu utaishiwa pumzi.

Lakini vilvile sauti inaweza kuwa ya juu wakati wa umri wa uzee.
 
6. Sauti yako inaweza kubaki kuwa ya kijana kwa muda

Sauti yako itasikika kuwa wewe ni mdogo kuliko umri wako

Habari njema ni kuwa ,sauti yako huwa inazeeka taratibu zaidi ya kiungo chochote cha mwili wako.

Kama unataka kukisia umri wa mtu kwa kusikiliza sauti yake ,huwezi kwa sababu utasema watu hao kuwa wadogo zaidi ya umri wao.
 
7.Ni namna gani unaweza kutunza sauti yako

Ukiwa unaimba wakati unaoga kunaweza kutunza sauti yako

Ni kama ilivyo kwa mwili wako, sauti yako pia inahitaji matunzo hivyo kwa kuimba na kuzungumza na watu kutasaidia kutunza sauti yako.
 
If you're going to do something tonight that you'll be sorry for tomorrow morning, sleep late
 
Get your facts first, then you can distort them as you please.
 
There cannot be a crisis next week. My schedule is already full.
 
Back
Top Bottom