myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kweli kabisa..Ushoga sasa ni ajenda ya dunia nzima na washenzi hawa wanatafuta kila njia ya kuuhalalisha. Hata tafiti hizi uchwara ni matokeo ya ajenda hizo hizo. Wamekazana sasa kwenye media kila show mpaka katuni za watoto ni lazima ukutane na wahusika mashoga na wasagaji yote haya kufanya mambo haya yaonekane ya kawaida. Ukijaribu kupitisha sheria za kupinga haya mambo kama walivyojaribu Uganda na Malawi wanatishia kukunyima misaada.